Karibu BingwaFX.
Sisi ni chanzo cha habari za biashara ya fedha kwa Kiswahili, kililoanzishwa na Sam R., mchambuzi wa fedha mwenye uzoefu wa miaka 5+ katika masoko ya kimataifa. Tunaandika kuhusu Forex, Hisa, Dhahabu, na Indices kwa lugha inayoeleweka na Watanzania wote.